No Post Available In Partiners Category
Karibu kwenye tovuti rasmi ya TUELIMIKE. Sisi ni shirika lisilo la kiserikali linalofanya kazi Tanzania bara; makao makuu yetu yapo katika Kijiji cha Isanjandugu, Kata ya Nsimbo, Halmashauri ya Nsimbo wilayani Mpanda mkoani Katavi.